
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO
TANGAZO KWA UMMA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto anawatangazia watumishi wote waliopata udahili wa kusoma masomo ya Shahada ya Uzamili (Masters Degree) katika fani za Afya kwa mwaka 2019/2020, kwamba Wizara inapokea maombi ya Ufadhili kwa mwaka 2019/2020. Maombi haya yatawasilishwa kwa njia ya kielektroniki kwa kutumia link iliyotolewa kwenye tangazo hili. Maombi yatakayofanyiwa kazi ni yale yatakayowasilishwa kwa njia ya mfumo huu tu, hivyo waombaji waliowasilisha maombi yao kabla ya tangazo hili wanapaswa kufuata utaratibu huu.
Ufadhili huu ni kwa ajili ya kulipiwa ada ya mafunzo (Tuition fee), pamoja na posho ya utafiti pindi mwanafunzi anapokuwa kwenye kipindi cha kufanya utafiti kama sehemu ya mafunzo yake (Dissertation Allowance). Malipo ya posho ya utafiti yatazingatia viwango vilivyopitishwa na Wizara.
Vigezo vitakavyotumika kuchagua watakaowasilisha maombi yao ni hivi vifuatavyo :
1. Kuwasilishwa kwa maombi rasmi ya ufadhili kwa njia ya mfumo (Post-graduate Sponsorship Online Application System)
2. Mwombaji awe Raia wa Tanzania.
3. Awe amedahiliwa Chuoni kuanza masomo kwa mwaka wa kwanza 2019/2020
4. Mwombaji awe amefanya kazi kwa muda usiopungua miaka miwili baada ya kuajiriwa serikalini.
5. Kipaumbele kitatolewa kwa: a. Watumishi wa Serikali waliomo kwenye sekta ya Afya wanaofanya kazi katika vituo vilivyoko Wilayani/Mikoanii pamoja na Hospitali za Rufaa za Mikoa ambao baada ya mafunzo watarudi kuendelea kufanya kazi katika vituo vyao vya awali, au watapangiwa vituo vya kazi sehemu nyingine yeyote nchini yenye uhitaji. b. Waombaji waliodahiliwa katika fani ambazo ni za msingi katika utoaji wa huduma za rufaa katika Hospitali za Rufaa za Mikoa. Nyanja hizo ni Anaesthesiology, Surgery, Obstetrics and Gynaecology, Orthopaedics
Surgery, Emergency Medicine, Paediatrics, Internal Medicine, Neurosurgery,Radiology, Oncology,Opthalmology, ENT,Psychiatry, Microbiology, Critical Care in Nursing na Midwifery and Womens Health, Clinical Pharmacy, Pharmaceutical Management, Epidemiology and Lab.Management. c. Waombaji waliodahiliwa katika nyanja za Ubingwa wa Juu (Super-specialities) zenye umuhimu mkubwa katika Hospitali Maalumu, Kanda na Kitaifa (kama Cardiology, Nephrology,Haematology,Endocrinology, Neurology, Pulmology, Gastroentorology, Radiography) ili kujenga uwezo wa ndani ya nchi katika jitihada za kupunguza wagonjwa wa rufaa wanaotibiwa nje ya nchi.
6. Aidha, mwombaji atatakiwa awe ameambatisha nyaraka zifuatazo wakati wa kufanya maombi: a. Barua ya ruhusa ya masomo kutoka kwa mwajiri wake b. Barua ya udahili kutoka chuoni c. Cheti cha taaluma d. Cheti cha kuzaliwa
Maombi yote yawasilishwe kwa kutumia ‘link’ ifuatayo:
esponsorship.moh.go.tz
Mwisho wa kupokea maombi haya ni tarehe 16/11/2019.
Imetolewa na:
Katibu Mkuu, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mji wa Serikali Mtumba,
Barabara ya Afya, S. L. P. 743
40478 DODOMA 18/10/2019
TANGAZO KWA UMMA - UFADHILI WA MASOMO YA UZAMILI KADA YA AFYA.
Labels:
SCHOLARSHIP
Tuesday, November 12, 2019
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
-
Anonymous Employer IT & Software Dar es Salaam | Full Time | Technology | TSh Confidential 1w Job Summ...
-
SEHEMU YA KWANZA kuzurula ndo ilikuwa kazi yangu coz ilikuwa lazima nimalize kariakoo nzima kwa kuokota chupa za maji nikauze nipa...
-
At the heart of Pact is the promise of a better tomorrow. A nonprofit international development organization founded in 1971, Pact work...
About
Powered by Blogger.
Contact Form
Search This Blog
Tags
Categories
Popular Posts
-
Mwalimu Julius Nyerere Memorial Scholarship Fund in Tanzania, 2019 Are you looking for an exceptional education at a great value? Go...
-
Simba na Azam walivyofungana 1-1 Chamazi - VPL 15/07/2021
-
Sweet and Sour Chicken Wings. 45minutes Ingredients . ½ cup soy sauce. ½ cup white vinegar . 3 garlic cloves smashed and pee...
-
While there are endless diets, supplements, and meal replacement plans claiming to ensure rapid weight loss, most lack any scientific evid...
-
KILA MTU ANA JINSI YAKE YA KUELEZE JINSI ANAVYOMPENDA MTU LAKINI HUYU MREMBO NI HATARI SANA!......KAA NA MIMI NIKUPE FULL MKANDA...............
-
1 15,128 St. Augustine University of Tanzania 2 12,563 St. Joseph University in Tanzania 3 9,312 Mzumbe University 4 8,044 Sok...
-
MINISTRY OF NATURAL RESOURCES AND TOURISM TOURISM DIVISION LIST OF LICENSED TOURIST AGENTS FOR THE YEAR 2008 AS AT 09/7/2008 LICENCE VALID...
Popular Posts
-
Writing a motivational letter can be nerve-wracking. When presented with the question of “Why would you like to be part of this organ...
-
1 15,128 St. Augustine University of Tanzania 2 12,563 St. Joseph University in Tanzania 3 9,312 Mzumbe University 4 8,044 Sok...
Blogger templates
Blogger news
Blog Archive
-
▼
2019
(240)
-
▼
November
(69)
- HLB MEKONSULT JOBS
- How to Write a Motivational Letter (and Get Accept...
- TOP UNIVERSITY RANKING IN TANZANIA BY STORIKKA 2020
- LIST OF LICENSED TOURIST AGENTS FOR THE YEAR 2008 ...
- TOP TANZANIA UNIVERSITY ON SCIAL MEDIA
- Approved List of Audit Firms Registered by Bank of...
- JOB OPPORTUNITY ASSISTANT LECTURER - 1 POST
- JOB OPPORTUNITY MVUVI MSAIDIZI DARAJA LA II (FISHE...
- JOB OPPORTUNITY AFISA VIPIMO DARAJA LA II - 3 POST
- NAFASI ZA AJIRA CHUO KIKUU CHA ARDHI DAR ES SALAAM
- TANGAZO KWA UMMA - UFADHILI WA MASOMO YA UZAMILI K...
- AJIRA Supply of plastic buoys, galvanized chains a...
- AJIRA Lorein Investment Marketing & Communication...
- AJIRA FINCA MICROFINANCE BANK Accounting, Auditing...
- AJIRA Energio Verda Africa Accounting, Auditing & ...
- AJIRA mobile phone shell Accounting, Auditing & Fi...
- AJIRA Africa HealthCare Network Tanzania Limited A...
- AJIRA General Manager Company NameSpice Island Hot...
- PRALENA NETWORK LTD is looking for a System Develo...
- AJIRA A credible IT solution company based in Dar ...
- Mwalimu Julius Nyerere Memorial Scholarship Fund i...
- AJIRA Plan International Tanzania Accounting, Aud...
- AJIRA AJIRA AJIRA Sales & Marketing Officer quickly!
- JOB OPPORTUNITY AT MTIBWA SUGAR ESTATES LIMITED AS...
- JOB OPPORTUNITY AT MTIBWA SUGAR CLINICAL OFFICER
- STRANGER THINGS FULL EPISODE
- UFADHILI : UDSM KUSHIRIKIANA NA KAMPUNI YA ALAF L...
- JOB OPPORTUNITY AT GIRLS EFFECT Country, Programme...
- JOB OPPORTUNITY AT Institute of Adult Education (I...
- ajira Payroll Staff Accountant
- JOB OPPORTUNITY AT SNV Making Policies Work for Sm...
- JOB OPPORTUNITY AT WASHA Group Leader
- JOB OPPORTUNITY AT PACT Finance Officer- General A...
- JOB OPPORTUNITY Cluster Accountant Officer ( Dar e...
- JOB OPPORTUNITY Assistant Finance Officer-Grants
- AJIRA Call for Experts – Tanzania Environment
- JOB OPPORTUNITY Welding and carpentry teacher
- JOB OPPORTUNITY SALES EXECUTIVE NEW
- JOB OPPORTUNITY AT ENGIE Full Stack Software Engi...
- Ajira Salesman / Saleswomen
- NAFASI ZA AJIRA MARANATHA HOSPITAL MBEYA
- UDOM WAFUNGUA DIRISHA LA KUHAMA KOZI - APPLICATION...
- JOB OPPORTUNITY UK AID - Call for Consultancy
- ACCESS BANK WATANGAZA AJIRA - Junior Branch Admini...
- JOB OPPORTUNITY AT MATERNITY AFRICA - Country Dire...
- JOB OPPORTUNITY Assistant Librarian Trainee, Tutor...
- AJIRA KWA WATU WA IT - Crossover for Work Software...
- JOB OPPORTUNITY AT RTI INTERNATIONAL - Call for Ex...
- JOB OPPORTUNITY - East African Recycling Plastic E...
- JOB OPPORTUNITY Customer Support Representative
- JOB OPPORTUNITY AT Procurement and Supplies Profes...
- UDSM:UTARATIBU WA KUBADILISHA KOZI YA DEGREE UNAYO...
- JOB OPPORTUNITY AT TCAA WAMWAGA AJIRA NAFASI 14
- JOB OPPORTUNITY AT SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTU...
- nafasi ya ajira uber tanzania - Mid Market Account...
- ANGALIA FULL TIME TABLE YA COURSE ZOTE UDSM
- Job Opportunity at Yara International, Customer Se...
- Job Opportunity at CVPeople Africa, Graphic Design...
- 3 New Job Opportunities at Speedball Courier Servi...
- AJIRA IMPALA FINANCE MANAGER
- Job opportunity at center for strategic litigatio...
- Job opportunity at one acre fund - Tanzania Impact...
- Job Opportunity at Kazini Kwetu, Commercial Officer
- Job Opportunity at HelpAge International, Procurem...
- Job Opportunity at One Acre Fund, Global Procureme...
- AUSTRALIAN INTERNSHIPS
- 20 Opportunities at St John’s University of Tanzania
- JOB OPPORTUNITY AT ICAP - Data Analytics and Visua...
- JOB OPPORTUNITIES AT JUBILEE INSURANCE, SALES AGENTS
-
▼
November
(69)

0 comments:
Post a Comment