JOB OPPORTUNITY AFISA VIPIMO DARAJA LA II - 3 POST

Labels:


Image result for wakala wa vipimo
Employer: WAKALA WA VIPIMO (Weight and Measure Agency-WMA)
Date Published: 2019-11-12
Application Deadline: 2019-11-26
JOB SUMMARY:
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
i. Kukagua, kuhakiki na kuvirekebisha vipimo vya wafanyabiashara;
ii. Kutunza na kuhifadhi vifaa vya kitaalamu vitumikavyo katika utendaji wa kazi; 
iii. Kutoa ushauri kuhusu masuala ya uhakiki na matumizi ya vipimo;
iv. Kufanya upelelezi kuhusu ukiukwaji wa Sheria ya vipimo; na 
v. Kupokea na kufanyia kazi malalamiko ya wadau na wateja; 

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
(i) Shahada ya kwanza katika fani ya Legal Metrology au Legal and Industrial
Metrology kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali. Au 
(ii) Shahada katika fani ya Uhandisi au Sanyansi ambao wamepata “crash
programme in Legal and Industrial Metrology” isiyopungua miezi minne (4)
kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali. Au 
(iii) Shahada katika fani ya Uhandisi au Sayansi ambao wamehitimu Stashahada
ya Uzamili (Postgraduate Diploma) katika fani ya Vipimo kutoka Chuo
kinachotambuliwa na Serikali, na  
(iv)
Stashahada ya juu katika fani ya Legal Metrology au Legal and
 Industrial
Metrology kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali. 
REMUNERATION: Salary Scale WMAS 3
Login to Apply

0 comments: