Wasailiwa
waliochaguliwa (Selected) kuendelea na usaili wa mahojiano wanatakiwa
kufika kwa ajili ya usaili huo siku ya Tarehe 09-04-2020 saa moja kamili
asubuhi katika ofisi za Chuo cha Ualimu BUTIMBA-MWANZA wakiwa na vyeti
vyao halisi (Original Certificates).
Bofya hapa chini kuona matokeo
DOWNLOAD FILE HERE
0 comments:
Post a Comment