SEHEMU YA KWANZA
Ni stroy mabayo sayansi imechukua party kubwa sana and nimejaribu kuwa creative kwa kuvunja ile ishu kuwa Watanzania tunabase sana kwenye love story sababu hatutaki kujifunza mambo, nimeamua kutoa story inayohusu vitu vya kufikiria na kuvifanya vionekane vya kweli kwa kuwa naamini sis watanzania tunaweza zaidi ya hao jamaa sema tu wametutangulia....Ungana na mimi and nikosoe ninapokosea na kunisifia nikipatia pia.&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&
sijui nilipotokea wala lugha ninayo ongea sidhani kama mimi nafanana na watu walio mbele yangu lakini nashangazawa na mapokezi makubwa ninayopewa wakiniambia kuwa mimi ni Raisi wao nilyetekwa nchini Syria nilipokwenda kwenye maongezi ya amani sikuwa naelewa walichokuwa wanaongea ikanbidi nikae kimya tu, Baada ya sherehe kuisha napelekwa sehemu nisiyoijua naambiwa hapa ndio ikulu lakini cha ajabu taratibu naona kama Fahamu zinaanza kunirudia naona kama hapa ndipo nilipokuwa naishi miaka yote namtambua mke wangu na watoto wangu pia walinzi wangu lakini kichwa kinaanza kuuma sana nahisi kama kuna kitu kichwani maana kumbukumbu zinapotea harafu zinarudi.
Syria..
Katika jiji la Palmyra kulikuwa na bonge moja la labolatory la kutengeneza kopi ya watu nah ii labolatoy ilikuwa chini ya wamarekani na waingereza katika miaka ya themanini walifanikiwa kutengeneza kpi ya raisi wa TANZALIA lakini hawakuwa na jinsi ya kumuingiza Yule kopi katika ikulu ya Tanzanlia miaka yote walikuwa wakisubili chansi itokee waweze kumuingiza kopi wao katika ardhi ya Tanzalia nchi yenye amani lakini ina utajiri mkubwa sana ambao kila nchi ilikuwa inaulilia.
Raisi Nobet Msemakweli wa Tanzania alipotangaza kuwa atakwenda Syria kufanya mazungumzo ya amani wakaona huo ndio muda sahihi wa kumuingiza kopy wao kwenye Ardhi ya Tanzalia haikuwa Tabu sana maana walitoa Amri kuwa secret service wote hawaruhusiwi kwenye mkutano bali ni maraisi peke yao ndo waingie, wakati wakiwa ndani walimteka Raisi akiwa ameenda chooni na fast asana wakamuingiza mtu wao Yule jamaa walikuwa wanamfeed information za kuhusu Tanzalia remotely na walikuwa tayari wamemtrain Yule jamaa lakini baada ya kuingia Tanzalia Freequency walizokuwa wanatumia kumkontrol Yule jamaa zilikuwa hazikamati ndo maana Yule jamaa akawa kama hajielewi baada ya muda wamarekani walifanikiwa kuweka sawa frequency zao na kuweka satellite pia so akawa yuko fresh,
Tanzalia......
Erick ni kijana mdogo sana mwenye umri wa miaka 13 lakini anajua mengi sana hata walimu shuleni wakaamu kumusha na kumpeleka form iv akiwa na umri huo mdogo , Erick amezaliwa katika familia ya kimaskini sana so maisha yake so mazuri sana lakini kijana huyu ni kama nilivokuambia si mwingi wa kulalamika lakini kijana ambaye anajua kuridhika na hali alikuwa nayo.
Baada ya kumaliza form IV Erick anachaguliwa na serikali kwenda marekani moja kwa moja kujiunga na chuo kikuu cha nchini humo cha technologia MIT wazazi wake wanafurahi sana na baada ya kama wiki tatu Erick anapaa zake hadi Marekani kusoma.
Nobert copy anaanza kazi anayopewa na wamarekani ya kuchagua baraza jipya la mawaziri na kufanikiwa kuchagua copy robo tatu ya baraza la mawaziri so maamuzi mengi yanakuwa yanawapa faida wao katika mwaka mmoja tu wamarekani wanachukua sehemu kubwa ya Tanzalia wakidai ni wawekezaji wananchi wanalalamika sana lakini hawafanikiwi.
Usa ..........
Erick alisoma sana na kila mwisho wa mwaka alikuwa ni best student na alipofika mwaka wa mwisho Erick alichagua kufanya project aliyoiita Animating Dead body watu walimshangaa sana lakini kwa kweli alifanikiwa ku animate binadamu aliyekufa na kumfanya kama binadamu wa kawaida , one day akiwa ametulia zake home akawa anacheki kwenye internet hotuba ya raisi ya mwisho wa mwezi , kadri alivyozidi kuangalia alishangazwa na mwenendo wa raisi ikambidi achukue picha za raisi kabla ya mwaka huu na kufanya matching analysis mwishowe anagundua kuwa Yule si Raisi wa Tanzalia but ni kopy yake lakini hakuwa na wa kumwambia maana ilikuwa bonge la ishu sababu akisema alafu akawa amekosea kesi yote itamuanukia yeye akapanga arudi zake Tanzalia kwa uchunguzi zaidi..
Miezi miwili tu tangu Raisi atoke Syria lakini malalamiko yalikuwa mengi sana wengi walisema Raisi Nobert amebadilika sana amewageuka wapiga kura wake wakiwa hawajui kuwa Yule si Raisi wao, Maisha Tanzalia ghafla yalikuwa magumu sana hali a uchumi ilipanda sana mazao yote yalikuwa yakiuzwa nje wawekezaji walikuwa wanavuna Huku alafu wanapeleka vitu Marekani na Britain ikafika wakati wakaleta wanajeshi wakidai wamekuja kwa ajili ya kutoa mafunzo ya kijeshi lakini haikuwa ivo kwani walikuwa wanafanya wanavotaka mtaani , wanawabaka watoto wa kike wananua watu ovyo.
Nirirudi zangu Tanzalia kwa lengo moja tu kuthibitisha kuwa Yule si Raisi wa Tanzalia lakini swali likaja kichwani kama Yule si Raisi je ni nani na Raisi yuko wapi, kichwani nilijua kabisa kama Raisi ametekwa basi lazima atakuwa hai maana kuna vitu wanaviitaji kumuelekeza Yule kopi.
Kazi ilikuwa ngumu sana kwani kila kona ya nchi walijaa askari wa UN wakidai wenyewe wamarekani lakini walikuwa ni askari wa USA na UK nilifanya kila mpango niwasiliane na mkuu wa majeshi nilienda karibu na kampuni moja ya siku na kuhack kwenye system yao nikawa nasearch namba zote zillizokuwa zimesajiliwa kwenye ile kampuni hadi nikaipata namba ya mkuu wa majeshi bila kuchelewa nkacreate secure line nikmpigia mkuu na kuanza kuongea nae,
Mkuu....halloo we nani?
Mimi.....naitwa Erick nina ujumbe mzito sana nataka nikuambie lakini siwezi kukuambia kwenye simu nataka tukutane najua hapo ulipo wanakusikiliza na usishtuke we kuwa kama kawaida lakini najua wanakuangalia hapo na pia wamekuwekewa tracking device inabidi tufanye haraka kabla hawaja tafsiri haya maongezi.
Mkuu...tukutane wapi sasa.
Mimi....Mama kafa bibi mzima Tupo Msibani
Hiyo ilikuwa ni code ya kijeshi ikimaanisha nyumbani ulipozaliwa.
Jamaa alikuwa mkwere wa pwani so fasta alishajua kilichoongelewa pale akaniambia kuku akiingia bandani akimaanisha tukutane jioni , tukakubaliana .
Nikachukua gari mpaka kibaha pwani ulikuwa mwendo kama wa nusu saa hivi nilipofika nilisubili sana maana mkuu ilibidi aage anaenda kuzika ndo wakamkubalia, baada kama ya masaa mawili jamaa alitokea na kunikuta mimi nikiwa peke yangu nikamfata fasta nikamuwekea device ya kujam signal na fasta nikamtoa ile trcking device na kumpeleka sehemu undergroung sababu hawawezi kutu track huko na kuanza kumwambia kila kitu akasema hata yeye alishagundua hilo lakini alikuwa hana jinsi ya kufanya zaidi ya kuangalia tu.
Tukapanga kitu cha kwanza tumtafute raisi halafu tujue nini kinafuata baada ya hapo, mkuu wa majeshi alikuwa mkali kwenye kombat mimi nilikuwa mkali kwenye any explosive device and kwenye computer pia nilikuwa mkali sana so tukaunda bonge moja la timu, kabla hatujaenda Syria kwanza alinambia tukamchukue mwanae alikuwa Dar es salaam. Fasta nika mpigia simu kwa kutumia secure laini hili wasiweze kunping back my location na kumpa baba ake aongee nae waliongea kwa code wakakubaliana .
Tulifika Dar es salaam kama mida ya saa 12 asubuhi hivi tukamkuta dogo alipokubaliana na baba ake nilipomuona tu nkamsearch nikamkuta nay eye amewekwa tracking device faster nikaitoa lakini sikuitupa maana nilijua ntakuja kuitumia tu, tukawa tunaelekea zetu mpakani mwa Tanzalia kupitia mbeya safari ilikuwa ndefu sana but kwa mbali kwa kuwa tayari nilikuwa nimesha hack system ya wamarekani nikaona kuna drone moja ninatufatilia nikahack ile drone na fasta nikawa naikontrol nikawaacha wafanya wanachotaka then mi nkaicontrol baada ya wao kulunch bomu, kama nilivootea wakaachia bomu and target ilikuwa gari yetu lakini kwa tayai nilikuwa ndani ya ile system ya drone nikachange destination faster na kulipua gari ya mbele yetu na kumwambia tuchange direction faster twende iringa then Malawi faster nikarusha ile tracking device kwa ile gari iliyokuwa inaungua na sie tukasepa then tukafika sehemu tukabadilisha gari hao hadi iringa , muda wote huo ikuwa na muda wa kumuangalia Yule motto wa mkuu dah alikuwa bonge moja la demu yani tena umri wangu kabisa lakini sikuwa na muda huo tena n ilikuwa nawaza kazi tu.
Syria.....
Rasisi nobert amefungwa katika maximum security place ambayo hata kwenye satellite haionekani wapo kati kati ya jangwa wamechimba underground ndo wapo huko na hiyo place yao ya kufa nyia mambo yao.
Iringa...
Tulifika iringa baada ya masaa kadhaa tukaunganisha mpaka songea ilitubidi tubadilishe route tuende msumbiji tulipofika songea tukasepa zetu hadi msumbiji, kufika huko tukawa tunataka kuonana na mkuu wa majesho wa huko atusaidie mimi kama kawaida yangu faster nikahack system yao na kuingia kwenye network yao na kuplant virus ambaye anani alert kila police wanapo wasiliana ili nijue mwenendo wa police pia nikaitafuta namba ya mkuu hadi nikapata. Tukaongea nae akatuelewa tukapanga sehemu tukakutana tukamwambia kila kitu akahaidi kutusaidia na kutuambia tukae hapo hotelini hadi atakapo rudi,
Msumbiji...
Tulikaa kama masaa mawili kimya lakini mimi kama kawaida yangu siwezi kuwa sehemu bila kucontrol camera nilikuwa naona almost sehemu kubwa ya hotel nikashangaa kuona askari wa msumbiji kama mia hivi wakiwa njee ya hoteli tayari kwa kuingia ndani......
JE, ERICK ATAFANYEJE BAADA YA KUHAKIKISHA KUWA YULE SI RAISI????LIKE NIENDELEE
SEHEMU YA PILI

0 comments:
Post a Comment