AJIRA AJIRA WAHI MAPEMA



Hello Team,
Wanahitajika Sales Representatives mikoa ya Mwanza, Geita, Shinyanga, Tabora, Simiyu, Mbeya, Songwe, Iringa, Njombe, Ruvuma, Rukwa na Katavi.
*wawe na Diploma au Degree katika course za Agriculture, experience kuanzia mwaka 1.
*wajue kuendesha pikipiki na wawe na leseni halali.
*wajue mawasiliano bora kwa lugha ya kiswahili na kiingereza
*Mshahara ni Tsh. 830,000 kabla ya makato, Sales Rep atapewa pikipiki na pesa ya mafuta kila mwezi, Tsh.50,000 ya simu/internet kila mwezi.

Watakaofanikiwa kupata kazi inaanza tarehe 1 July, 2019. Kutakua na training Arusha kuanzia tarehe 15 June, 2019

Applicants watume CV kwenye email hii bahati@jobconnect.co.tz

0 comments: