XXX | NAKUPENDA

Labels:


 SEHEMU YA KWANZA
kuzurula ndo ilikuwa kazi yangu coz ilikuwa lazima nimalize kariakoo nzima kwa kuokota chupa za maji nikauze nipate hata pesa ya kuendeshea maisha yangu, baada ya kufanya kazi ya kuokota chupa sana nikapata kamtaji nikawa nazua maji pale fire.

siku moja niko zangu kene mishe za kuuza maji ikasimama Range moja kali sana ikashuhwa vioo kusogea karibu alikuwa mrembo mkali sana akitaka soda ya fanta ya take away nikampa akatoa noti ya shillingi elfu kumi na kunikabidhi lakini wakati nataka kutoa change aliwasha gari fasta na kusepa nikamkimbikilia lakini sikumpata mwishowe nkabaki nayo ile pesa wakati nikiwa narudi nikaona kama ile gari imesimama kwa mbele ikabidi niende ile nafika tu gari ikaondoka...Nilifurai kwa upande mwingine kupata elfu kumi bila jasho lakini nilijiuliza kwanini yule dada kafanya vile?

Zikapita kama siku mbili niko katika harakati zangu za kuuza maji wakaja site wakatukamata na kutupeleka manispaa kufika manispaa naikuta ile gari imepaki pale nnje tunaingizwa ndani eti namkuta yule dada anatoka ndani alivoniona tu akasema huyu ndo mwizi wangu amekimbia na pesa yangu ilinibidi nishangae kwani sijui yule dada alikuwa anamaanisha nini, mara yule dada akasema niacheni nimpeleke polisi mwenyewe huyu kaka..akanilipia pesa pale manispaa na nikaondoka nae kufika kwenye gari ananiluliza unajua kuendesha nkasema ndio akaniachia niendeshe huku akinielekeza pa kwenda baada ya masafa marefu nikashangaa tupo masaki nikamuuliza dada huku ndo polisi akasema we twende utaona tukaingia kwenye jumba moja la kifahari dada akanikaribisha ndani kuingia ndani dada akaanza kuniambia kijana nakuomba uje ufanye kazi kwenye nyumba yangu ntakulipa vizuri maana mimi naishi mwenyewe humu siwezi hata kuliangalia hili jumba ilinibidi nishushe pumzi kwanza maana nilikuwa sielewi kinachoendelea na nikamjibu mi ni mtu wa kuangaika siwezi kukaa ndani akaniambia usijali nitakufungulia biashara kubwa tu bila kinyongo nikakubali na kuanzia siku hiyo nikawa naishi nae kwenye lile jumba mimi na yeye tu wawili..

maisha yalikuwa matamu sana ndani ya lile jumba na dada Elizabeth mi namuitaga Liz, Siku moja nilirudi home nikiwa nimechoka sana katika biashara yangu niliyofunguliwa na yule dada nafika home namkuta Liz amerudi home amekaa kwenye kochi akiwa kavaa kanga moja tu ndani hana kitu ikanibidi nipitilize but Liz akanisimamisha na kuniambia Erick njoo tupige story basi moyoni nikasema duuh kuna story kweli hapo au anataka mengine. nkakubali nkakaa nae but nikawa simuelewi mara kanilalia mara kanichumu mara ananishika shika kila sehemu mwishowe nkachoka na mie nkaanza kujibu mapigo dah uwezi amini mtoto alikuwa mbichi yani hajawai kuguswa kabisa mi ndo nimemfungua..alilia sana Liz siku ile but nikambembeleza kwa mahana na akanyamaza...

Kesho yake Liz akaniambia tufunge Safari twende Italy kwa wazazi wake, nikamuuliza kfanya nini akanijibu kunitamb uliza kwa wazazi wake nkamjibu jamani siwezi kwenda kozi mimi jinsi nilivyo hawawezi kukubali nikubalia nikuoe akasema usijali mpenzi watakubali tu mi nakupenda hawana jinsi nkakubali kwa shingo upande tukafunga safari hadi Italy
Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/I9bqBYpASOiCrFrEmivwyl


COMMENT NIENDELEEEEE

0 comments: