I'LL NEVER LOVE AGAIN SEASON I
story by erick nziku
EPISODE ONE
Natasha and Natalia ni mapacha waliozaliwa kijiji kimoja huko Iringa vijijini, Mama yao akiitwa Nasma huku Baba yao Nemez Akiwa amefariki wakiwa wadogo sana.Natasha na Natalia hawakuonja radha ya kuwa na baba katika maisha yao.
Safari ya Maisha yao haikuwa rahisi ukizingatia mama yao alikuwa mkulima mdogo katika kijiji kidogo cha mlangali, Kilimo kilikuwa akimuandei vizuri Nasma ghali iliyopelekea Natasha and Natalia kusoma kwa shida sana .Walipofika darasa la sita ghali ilizidi kuwa mbaya sana katika familia yao kiasi kwamba hata pesa ya kula ni shida ....Siku moja Natasha alitumwa dukani kununu mafuta ya taa maongezi yalikuwa hivi na muuza duka
Natasha "shikamoo"
muuza duka "usijali we nambie mambo tu inatoshaenhe sema umetumwa nn"
Natasha "naomba mafuta ya taa nusu lita, shika na pesa yako"
muuza duka "usijali natasha hiyo tumia tu shule kesho"
Natasha "mama akiona"
muuza duka "kwani utamuonesha"
Bila kufikiria Natasha alikubali kuchukua ile pesa akidhani mwanzo wa maisha ya raha umewadia kumbe alikuwa anajiingiza kwenye giza totoro zaidi ya alilokuwepo...Ikawa ndo Mchnezo wake natasha kwenda kuchukua pesa kwa muuza duka..
akawa anashinda kwa muuza duka
mnamo tarehe 16/8/2009 Natalia anaamka asubuhi , anabaki ameshangaa kwani si nguo wala sura hata harufu ya Natasha haikuonekana humo ndani.
Nasma aliangaika sana kumtafuta mwanae bila mafanikio mwisho wa siku alimuachia mungu tu , kama atarudi sawa......Tokea hapo Natasha akuonekana Tena
After 7 years
"""####Erick ni kijana aliyezaliwa katika familia ya kitajiri Baba yake akiwa ni mbunge wa ludewa,Pesa haikuwa tatizo kwake Erick,
Erick alikuwa na tabia ya kuchukua wanawake na kuacha ...Siku moja Erick alienda Ziwa nyasa kwenda kununua samaki wa kula nyumbani akiwa na Gari ya baba yake haina Ya land cruiser hana wasi wasi.Akielekea kununua samaki kuna dada mmoja alikuwa anamwaga maji machafu yaliooshewa samaki Ghafla akmwagia Erick
Erick"Damn wat a faq is this, hey who did this?? dont you know me??" anatokea msichana jasiri aliyeumbika mwenye kila sifa ya kuitwa mke Natalia na kusema mimi hapa, Erick kwa taratibu anageuza shingi na kukutana macho kwa macho na msichana mzuri mwenye mvuto Natalia.///natalia anaendelea mimi ndo nimekumwagia sema unatakaje sasa , Erick kimya , Ghafla Erick alinyenyuka na kumfuata Natalia.................Itaendelea
I'L NEVER LOVE AGAIN SEASON I EPISODE II
Taratibu aliupeleka mkono kiunoni na kutoka na kitu cheusi sheusi hivi naaaam ni bastola, kila mtu alikuwa kimya kutazama nini kitatokea lakini Natalia hakuwa na wasi wasi hata kidogo , Erick alimsogelea Natasha na kumwambia tutaona Jeuri yako Leo, Mara Natasha akaanza kuropoka mwananume mzima unashindwa na mwanamke mdogo kama mimi hadi unaamua kutumia bunduki afu mwanamke mzuri kama mimi sistahili kufa huku nikiwa bado sijaonja raha ya dunia.
Erick pamoja na kuwa mala**a lakini hakuwai kukutana na mwanamke mwenye uanamke wake yaani ambaye hajawai kufanya mapenzi, Aliposikia maneno ya natalia ilimbidi ashangae kwani hakuwai kuamini kama kuna mwanamke wa namna hiyo katika karne hii, wakati Erick bado anashangaa ghafla natalia aliichukua ile bastola kwa nguvu na kumuonyeshea Erick.."Erick wa watu alitamani kujikojolea"
CHa kushangaza Natalia alimrudishia bastola yake na kisha kumwambia kwa maneno ya kiiingereza "BE GENTLEMEN AND DONT EVER TREAT A BEAUTIFUL GIRL LIKE THAT" Erick hakuwa na cha kusema zaidi ya kuchukua bastola yake na kuondoka zake kwa kasi huku akisema "AM NOT DONE YET ILL FIND YOU" .....
Akiwa na hasira Erick anarudi nyumbani akiwa hana samaki alioagizwa inabidi mama amtume msichana wa kazi ambaye ni ______________
TURUDI NYUMA KIDOGO MNAMKUMBUKA MUUZA DUKA NADHANI NGOJA TUMFAHAM KIDOGO
Anaitwa JAMES BRIAN MANYANGA huyu alikuwa moja kati ya walinzi wa baba yake Natasha na Natalia , mzee nemez alimwamini sana huyu kijana na hakuna aliyefaham kama alikuwa mlinzi wake ..kabla ya mzee nemez hajafa aliwahi kumwelezea kila kitu James kuwa ana wasiwasi na maisha yake na kuna mtu anataka kumuua na kumwambia James kama akifa anamwomba atunze familia yake...Lakini James alivunja ahadi yake na akaanza kumfundisha Natasha kuwa Muuaji wa kutisha ili aweze kulipiza kisasi kwa wote waliousika na kifo cha bosi wake mzee nemez..
Hakuna aliyejua si mama natalia wala nani kama mzee nemez aliuliwa wote waliamini mzee nemez alijiua mwenyewe baada ya maisha kuwa magumu..Alijifanya anamtaka Natasha lakini kila natasha akienda kulala kwake walikuwa hawalali bali anamuandaa kuja kufanya revenge ya kutisha, wote mtaani waliamini Natasha anatembea na muuza duka wasijue kilicho nyuma ya pazia.
TUENDELEE
Mfanyakazi anaagizwa kwenda kununua samaki anapelekwa na gari hadi sokoni anafika sokoni tu roho yake inaanza kumuuma baada ya kumuona pacha wake ambaye hawajawai kuonana kwa miaka saba , Natalia anashtuka kumuona mdada anayefanana nae lakini Natasha alijibadilisha sana ilikuwa vigumu sana kumtambua kuwa alikuwa ni yeye...
Natalia "dada nikusaidie nini"
Natasha "naomba samaki kilo tatu"
Natalia anampimia samaki wake na kumkabidhi kisha anachukua pesa na kumrudishia chenji na kumwambia Karibu tena dada alafu umependeza dada
Natasha"asante hata wewe pia afu we mzuri"
Natalia"ahsante , lakini mbona mi naona kama tupo sawa "
Natasha "si unajua duniani wawiliwawili" kisha natasha anaondoka zake huku moyoni akiwa na huzuni tele kwani amekutana na mdogo wake lakini hakuweza kumwambia kama yeye ni dada yake.
kabla Natasha hajapanda gari na kuondoka wanakuja vijana watatu wenye misuli ya maana na kumkamata kwa nguvu natalia na kumuingiza kwenye gari kisha kuondoka kwa kasi ya ajabu......
EPISODE III
Natalia anaamka katika usingizi na kushtuka yupo sehemu ambayo haifahamu, akiwa amefungwa kamna mikononi na miguuni na mdomo wake ukiwa umezibwa kwa kitambaa, Taratibbu fahamu zinaanza kumrejea kutokana na kulewesha kwa madawa ya usingizi bila kufikiria anaaza kupiga kelele mhhhhhhhhh!!! mhhhhhhh! mhhhh! alikuwa hasikiki kwani mdomo wake ulikuwa umezibwa .Mmoja kati ya wale jamaa waliomteka akamsogelea na kumfungua kitambaa kisha akamuuliza unataka nini???
msiniue msiniue msinue hayo ndo maneno aliyokuwa akisema Natalia kwani Ujasiri wote aliokuwa nao ulikuwa ushapotea akuwa na nguvu tena na roho yake ilikuwa mikononi mwa majambazi...
***********
Natasha baada ya kushuudia mdogo wake akitekwa haraka haraka alitoa simu yake ya akiba na kusubiri gari likiwa linaondoka na kuirusha kwenye lile gari, haikuwa kazi rahisi kwani ilimbidi aruke kama ninja na kuwaacha watu wakiwa wanashangaa pale sokoni..Bila kupoteza muda Natasha anampigia simu JAMES BRIAN MANYANGA nadhani sote tunamkumbuka huyu , Natasha anamwambia kwa kiingereza James "HEY CAN YOU GIVE ME THE LOCATION OF MY PHONE"
James anauliza why na Natasha anamjibu I wanna track down some guys they took my sister bila kupoteza muda James anafanikiwa kupata location ya hiyo simu na kumwambia natasha "THE LOCATION WILL BE ON YOUR PHONE SOON INCLUDING THE AREA MAP" natasha anashukuru kwa neno moja tu "THANKS"...Haraka haraka natasha anachukua gari na kuanza safari ya kumsaka dada yake , anafika eneo la tukio na kukutana na nyumba kuukuu.Kuchungulia ndani anaona dada yake akiwa amefungwa kamba, Natasha akilini mwake kwanza laima aipate ile simu then mambo mengine yanafuata analisogelea lile gari aliloweka simu na kuichukua simu yake kwa haraka...
**********
Natalia alikuwa akitetemeka huku akijua mwisho wake wa kuishi ulikuwa umekaribia alibaki kimya Mara akashtusha na sauti za wale jamaa wakiongea
"Bosi kasema anakuja sasa hivi"
Natasha kusikia ivo kwa haraka anavaa mask yake na kuingia ndani bila wasi wasi wowote kishua akawaambia wale jamaa ."Mwacheni huyo dada aende zake"
jamaa mmoja kwa kejeli akamjibu njoo umchukue.
Natasha aliruka juu na kutua kichwani mwa yulle jamaa na kumpiga mapigo matatu matakatifu jamaa chali ,
akamfuata yule mwingine na kumpiga sehemu ya siri kisha kumppiga ngumi kali ya uso jamaa nae chali kisha akamfungua dada ake na kumwambia ondoka uko huru , Natalia hakutaka kuondoka nia yake kumfahamu aliyemuokoa ni nani lakini Natasha akasisitiza ondoka haraka
Natalia aliondoka kwa kasi pasi kuangalia nyuma na kuishia zake , Natasha alibaki ili ashuhudie alichokuwa akiambiwa na James ni kweli
mara anaingia mtu mule ndani Natasha anajificha . Naam alikuwa si mwingine bali ni Erick mtoto wa mbunge katili wa makatili anakutana na walinzi wake wakiwa chali anaanza kufoka pumbavu nyie yuko wapi ametoroka Bosi mmoja anajibu Nani kamsaidi
Kuna msichana mmoja alikuja kumwokoa
erick: pumbavu nyie anatoa bastola yake na kuua wote kisha anatokomea zake
**************
John ni kijana wa familia ya kimaskini aliyezaliwa kijiji kimoja na akina Natasha lakini yeye Masomo ndo yaliyomfanya muda mwingi kutumia akiwa Dar es salaam alikokuwa anasoma chuo kikuu.
Ndo kwanza alikuwa anarudi nyumbani kwao akiwa na mabegi yake njiani mara anagonana na msichana mmoja akiwa na wasiwasi mwingi..........................
EPISODE IV
Natalia akiwa mwenye wasi wasi mwningi anakutana uso kwa uso na mwananume wa maisha yake mwanaume aliyeweka naye ahadi utotoni kwamba wataishi pamoja milele, Anaitwa John.John akiwa na furaha ya kukutana na mpenzi wake wa utotoni pia akiwa na wasi wasi juu ya nini kilichomsibu Natalia , kwani alionekana kama mtu aliyeona mzimu vile.
John : "hey watsup"
Natalia : "poa"
John : "hey mbona uko ivyo kama umekutana na mzimu huku akitabasamu kidogo kuonyesha kama anamtania"
Natalia : "no,its nothing am just happy to see you"
John bila subira alimkumbatia Natalia kisha akamwambia "I REALY MISS YOU" natalia bila kuchelewa akajibu "Thank you, same here"
Akiwa anajilazimisha kuongea na John kwani mawazo na akili yake vyote vilikuwa kule alipoweza kupona kifo na mpaka sasa akufahamu nani aliyemteka? kwa nini na je.atamwacha au watamtafuta tena.
Natalia ikmbidi amuage John na kumwabia njoo nyumbani jioni tuongee vizuri , kwa shigo upande aliitikia ndio na kuondoka zake .Hiki ni kipindi kibaya sana kwa Natalia kwani kazi awezi kufanya akili yake yote ipo kwa mtu aliyemuokoa alitamani sana amfahamu ili aweze kumshukuru..
***********************
Natasha akiwa kwenye Gari kwa mbali anamuona John anashangaa kumuona shemeji yake wa zamani amerudi lakini akuweza kumsalimia kwani anaishi maisha ya siri kubwa sana. Anarudi nyumbani akiwa amechelewa akiwa na samaki wake mama Erick anamfokea akimwambia
Ushaanza tabia ya wanaume we mtoto umetumwa muda ndo unarudi sasa
Natasha anajibu kwa upole samahani mama.Natasha anaingia chumbani kwake na kumpigia simu James Manyanga ili ampe Taarifa Lakini anashangaa simu inaita lakini haipokelewi anashtuka lakini anaamua kuacha ujumbe wa meseji ukisema "ITS DONE MY SISTER IS FREE"
leme stop kwanza***************************
Erick na marafiki kila sehemu baada ya kuona kwamba ishu imenoki Erick aliwasiliana na mtandao wa simu wanaohusika na mawasiliano na kumuomba jamaa amsaidi ku "TRACE" simu yoyote iliyopigwa muda ambao Natalia alikuwa ametekwa , Jamaa alimsaidia na kumpatia sehemu ambao iyo simu ilitokea na kufika, Erick bila kupoteza muda na kikosi chake waliondoka na kwenda hiyo sehemu na kufanikiwa kumtia mikononi James pamoja na vitu vyake vyote ..
James alipelekwa sehemu ya siri ambayo Erick anafanyiaga mauaji , wakaanza kumtesa wakitaka kufahamu dada yake Natalia ni Nani lakini James akuweza kuongea kitu zaidi ya kukaa kimya...
Lets continue*****************************
Natasha akiwa na wasi wasi mwingi meseji yake ilikuwa bado haijajibiwa akaamua kupiga tena simu kwa mara nyingine lakini haikupokelewa , Wasiwasi ulimuingia Natasha kwani James ni mtuu pekee aliyekuwa akimwamini.
Zinapita siku tatu bila mawasiliano na James Hapo ndipo Natalia anaamua kuingia Rasmi kwenye vita, Anaaga kwa bosi wake anaenda kusalimia nyumbani lakini si nyumbani alipokuwa anakwenda alikuwa anakwenda kwenye nyumba ya siri ya James, akiwa hajui aanzie wapi Simu yake inaiita ni namba ya James anapokea kwa haraka na kusema Hell James anashangaa sauti nzito upande wa pili ikimwambia tunakupa masaa 24 usipokuja tunamuua huyu mtu Natalia anabembeleza sana ili ajue wapi walipo lakini alishtushwa na mlio wa simu kukatika.
Anaamua kupiga yeye na simu inapokelewa anaambia "IIts deal nakuja tell me where "
jamaa anamwambia njoo kalenga huku ukifika utafuata maelekezo natasha anajibu sawa ni mbali na alipokuwa yeye lakini anafunga safari kwenga kalenga akiwa na kila silaa katika begi lake ,alijiandaa kwa lolote Natasha , baada ya masaa kadhaa Natasha anaingia kalenga akiwa amejiandaa
EPISODE V
PREVIOUSLY ON I'LL NEVER LOVE AGAIN SEASON I
kwa kifupi tutaona James anakamatwa na Erick pia tutaona Natalia ajitolea uhai wake kwenda kumuokoa James
@#$%^&*
NOW
Erick akiamini hakuna mtu anayeweza kusumbua akili yake duniani alipanga bonge la mtego aweze kumnasa Natasha.....@#
*************
James akiwa hoi kwa kipigo amekaa akitambui kwenye chumba alichofungiwa akiwa amebaki na walinzi wawili tu nnje , anaamua kutumia hiyo golden chance kujaribu kutoroka anapanga jinsi ya kutoroka..walinzi wanashtusha na sauti ya James akilalamika haja imembana haraka wanenda kumwangalia wanafungua mlango na kumfungua kwenye ghafla lakini kwa haraka haraka James anawapiga na kiti na kuwaua bila huruma wale walinzi.Kisha anaanza safari ya kutoroka anatoka kwenye lile jumba na kuelekea kusikojulikana....
***********************************
Erick anapata taarifa kuwa James ametoroka lakini ye hajali na kuwaambia vijana wake kuwa mpango upo pale pale lazima wamnase huyo binti kwa gharama yoyote.....
Wanampigia simu Natasha na Kumwambia lets make it done quickly kila mtu aende na mpango wake Natasha anajibu Am ready just tell me where and i'll be there shortly..Baada ya kukata simu Natasha wasiwasi unamuingia na kujiuliza kwa nini wanataka haraka hivi au James amefariki lakini noway hajafa au ametoroka??
Akilini mwake Natasha alijua lazima watakuwa wamuwekea mtego kwa hiyo alikuwa amejiandaa vya kutosha...
Anafika eneo la tukio akiwa amejifunika usoni kwa mask nyeusi akiwa na natasha wawili wengine wa bandia wote wakiwa wamevaa sawa na Natasha ..
Simu iliita na Natasha kwa haraka akaipokea na kusema Hello jamaa wa upande wa pili bika salam akamwambia shuka chini huku ya maporomoko na yeye anamuagiz Natasha Bandia akimuita kwa jina la Bella "Bella you go there " and dont worry we got your ass covered and jack you stay with me....
yalikuwa maneno ya Natasha akitoa maelekezo ya mwisho...
Bella alifika Eneo la tukio na kukutana na njemba za kutisha lakini kwake ilikuwa ni jambo la kawaida kwani amewai kukutana na njemba mara tatu ya wale na kutoka salama,
Bila woga kwa sauti nyembamba ya kike Bella alisema "show me what i came for" jamaa wakamjibu kwani si umefuata kifo au and u,ll get it bitch
**************
James alikuwa ameaandaa snipers kila kona wa kutosha lakini Natasha always she is one step ahead so aliwawai na kuua kila sniper aliyeandalia na Erick..
*************
tuendelee
Bella anacheka cheko la dharau hehehehe we will see nani kafuata kifo hapa kati yangu na yenu..
kwa mara nyingine tena anasema "hey i said set him free and you will live "
jamaa kwa pamoja wanacheka heheheheheheh your going to die bitch so keep on dreaming coz nobody is going to save you
Bella anaongea kwa hasira set him free or
jamaa anadakia Or what bitch ?? you will kill us all as you keep on dreaming ????
leme tell you bitch tumelizunguka hili eneo lote hata panya hawezi kutoroka hapa sasa wewe bora ujisalimishe mwenyewe na kuendelea kutu..........kabla hajamaliza alipigwa risasi ya kichwa na kupoteza maisha hapo hapo milio ya risasi ilianza kusikika kila kona lakini baada ya muda mfupi Natasha na Jack aka The real sniper' walikuwa wameshawaua wale jamaa wote haraka wakaenda kwenye lile gari lakini hawakumkuta James wala harufu yake ..
Natalia ajisemea mwenyewe "i knew this was a trick" ntahakikisha naua wote watanijua mimi ndo Natasha..
***********Kutana na Bella na JAck******wafahamu kidogo****
Bella na JAck ni marafiki wakubwa sana wa Natalia tena zaidi ya marafiki ni kama ndugu vile waliishi maisha ya kusaidiana sana, Walikutana gereza moja huko Dar es salaam lijulikanalo kama Segerea walikuwa maarufu sana humu ndani walifahamika kama "THREE PRETTY MONSTER" walikuwa hawapendi kuona mtu akionewa gerezani kiongozi wao akiwa Natasha.
Bella alifungwa kwa kosa la madawa ya kulevya na JAck allifungwa kwa kosa la kumuua baba yake wa kambo..
Natasha baada ya kutoka segerea aliapa kuwasaidia mpaka watoke marafiki zake aliangaika sana na kufanikiwa kumtoa Bella lakini as for JAck they Had to break her out na kwenda kuwaficha iringa...
kazi kama ile kwao ilikuwa rahisi sana....
**********************
John atatimiza ahadi kwa kwenda kwa akina Natalia kama alivoambiwa aende kama kawaida yake John anakutana na mama yake Natalia akiwa nje na kumsalimia shikamoo mama mkwe mama Natalia anamjibu kwa haraka nani mkwe wako we si ulimkimbia mwanangu kashampata mwingine huku akitabasamu John alicheka sana kisha mama Natalia akamuambia ingia yupo ndani huko chumbani kwake. John anaingia ndani na kumkuta Natalia akiwa bado na huzuni tele...@#$%^&*(()(*&^%$#$
Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/I9bqBYpASOiCrFrEmivwyl


0 comments:
Post a Comment