AM IN LOVE
TRUE STORY BY STORIKKA
SEHEMU YA KWANZA
7:12 pmme: hi
jayv: hello 7:32 pm
alivyojibu tu meseji yangu ndo ukawa mwanzo wa mimi na yeye kuchat kwa kweli hakuna ambaye anaweza ku resist kuchat with this girl bcoz its funny and it feels good to chat with her,it was like that and haikupita siku bila kujuliana hali.....we talked and talk an finally we came to realize that tilikuwa tunaishi karibu karibu tu tena hata basi hupandi pia hata kilometa moja haifiki so tukapanga tu meet one day....
It was wednesday siku ambayo tulipanga kuonana nilienda chuo kama kawaida yangu and time ilipofika nikaanza safari ya kurudi home, i called her and akanielekeza kwao so nikashuka nikaanza safari ya kuelekea kwao nilipo karibia nkampigia simu but akaanza kuzingua i thought amenidanganya but baada ya muda kidog nkaona simu yangu inaita and it was her asking me where am i? nikamjibu haraka haraka nilipokuwa and baada ya sekunde kadhaa nikamuona msichana kwa mbali dah she was amazing i never thought katika maisha yangu kama ningeweza kukutana na msichana kama yule, she was everything i was looking for,alikuwa kamilika kwangu mimi she nilidhani alikuwa anapita tu hakuwa yeye but nilishtushwa na ndo wewe Erick i was like yeah its me and we ndo jayV akajibu yeah its me.i never stoped looking at her and i know hata ungekuwa wewe usingepeleka macho pembeni hata kidogo yani alikuwa amejaaliwa nyuma and akicheka na wewe lazima utabasamu.
"sexy is the first idea ambayo inanijia on my head whenever nikikutana na msichana mpya". But it wasnt like that when i met her i felt something ambayo i never felt for anyone i dont know why an how it came to me but i liked that feeling its was the feeling ambazo hakuna anayewish kuzi escape. we talked a lot that day and akanisindikiza kidogo alinikubalia nimu hug nilimng'ang'ania hadi akasema inatosha na nikamwachia.....i told her my intension and ilikuwa hivi
me: you just came to my existance like a ghost and i never thought ningekutana na mtu kama wewe and umeniteka that i dont know what word to use unielewe but inshort naweza sema , can i date you?jayV: hell no i have my BF and i love her maybe tuendelee kuwa marafiki.me: siwezi kuwa na urafiki with someone i love coz il be hurting myself, sikutegemea ningekuwa hapa saying this things i dont even understand myself am confused right now sijui kama i can stay another day without you by my side so loosing you its like kunipa hukumu ya kifo and i dont wanna die please naomba unielewe nakupenda sana and just give me a chance.....jayV:hey leme tell you the truth mvulana ambaye niko naye sijampenda and tumegombana so am just waiting for him arudi shule nimwambie tuachane...so if you can wait until arud and nikae mwenyewe ni safishe akili yangu then maybe itakuwa good.
ilikuwa kama another reason ya mimi kufurai coz nilikuwa radhi kusubili hata mwaka just for her
me : so mpaka lini nisubiliJayV: mpaka january.i was like poa ntasubilia but naomba tuwe tunaonana and akajibu
poa.....................................
SEHEMU YA PILI
It was like dream come true and vanish in the air, I never lived so happy like that katika maisha yangu though it wasnt confirmed that she is my baby but i was so happy knowing that i have someone like her in my life.Everyday before i sleep nilikuwa nikiongea naye sana,alifurahi sana talking to me and i was happy nikijua kwamba naongea na msichana mrembo kama yule.Ghafla my life turned into paradise, i lived like a king knowing that i got her as my queen dahhhhh she was everything i dreamnt about she captured my emotion and made me dream about her everyday,
Actually, naweza tumia 4-quire counter book kuelezea how beautiful she is..
They say "One step at time" i was clearly aware of this statement, One day niko home nilikuwa sina cha kufanya so nikampigia simu JayV...an it was like this
Me: helloJayV: hi,you good?Me: yah, can we meet?JayV: yah no problem we njoo tu hadi karibu na home then holla me....Me: yah nakuja right now....
Mchizi kwa haraka haraka nikaanza kujisogeza kuelekea kwa akina jayV, nilipokaribia tu nkampigia simu akaniambia nipo karibu hapa usijali. oush!@#kama kawaida yake alikuwa amependeza sana like i told her we are going on date. akanikaribia na kusema i missed you..!! kisha akanikumbatia while vyote vinatendeka i was quite and shocked sikudhani kama ningeweza kukumbatiwa tena after that day....
We talked a lot but atukugusia suala la mimi na yeye kuwa pamoja coz tulikubaliana ni mpaka january....time ilikwenda sana so akaniambia antaka kusepa nikamkubalia then akanikumbatia kama kawaida yake mi nikasogeza my mouth karibu na mdomo wake nikitaka kumkiss then haraka akasogea pembeni kisha akaniambia hey what are you trying to do??first i hate kisses and i dont think if i will ever kiss you.............


0 comments:
Post a Comment