0
matokeo ya kidato cha sita 2019
Matokeo ya kidato cha sita yametoka leo kuyaona angalia hapo
Link
https://matokeo.necta.go.tz/acsee/
Link
https://matokeo.necta.go.tz/acsee/
0
USAJILI ORODHA YA WALIOSAJILIWA NA WANAOTOKA SIMBA HADI SASA KWA MSIMU WA 2019/2020
Wednesday, July 3, 2019
WACHEZAJI WAPYA SIMBA SC
Katika kuimarisha kikosi chake simba imefanya usajili wa wachezaji kadhaa wa kimataifa ikiwemo wabrazil watatu.
Kennedy Wilson Juma
Ingizo jipya kwenye kikosi cha Mabingwa, beki wa kati Kennedy Wilson Juma amesaini mkataba wa miaka miwili. Uwepo wa Kennedy kwenye kikosi kwa kushirikiana na mabeki wengine tulionao ni hakika safu yetu ya ulinzi itakuwa imara zaidi. #NguvuMoja
GERSON FRAGA VIEIRA
Mchezaji mwingine kutoka Brazil mwenye uwezo mkubwa wa kucheza nafasi ya beki wa kati na kiungo mkabaji, Gerson Fraga Vieira (26) amesaini mkataba wa miaka miwili na Mabingwa wa nchi. @g.fragav ambaye amewahi kuwa nahodha wa timu ya Taifa ya wachezaji chini ya miaka 17 ya Brazil iliyokuwa na wachezaji maarufu kama Neymar, Philippe Coutinho, Casemiro na golikipa Alisson, pia alicheza timu ya Taifa ya wachezaji chini ya miaka 20 na alicheza klabu kadhaa za Brazil ikiwepo Grêmio amejiunga na klabu yetu akitokea ATK FC ya India. #NguvuMoja
Sharaf Eldin Shiboub Ali Abdalrahman
Kiungo Bora mara mbili mfululizo wa Ligi Kuu ya Sudan na mchezaji wa timu ya Taifa ya Sudan tangu akiwa na miaka 17 akitokea kwa mabingwa mara tatu mfululizo wa Ligi Kuu ya Sudan klabu ya Al Hilal, Sharaf Eldin Shiboub Ali Abdalrahman amejiunga na Mabingwa wa nchi kwa mkataba wa mwaka mmoja. Karibu Msimbazi Sharaf. #NguvuMoja
DEOGRATIUS KANDA
Kazi ya kusajili wakali watakaohakikisha kikosi cha Mabingwa kinazidi kuwa tishio kwa wapinzani inaendelea. Mshambuliaji raia wa Congo DR, Deo Kanda (29) amejiunga na Mabingwa wa nchi. Kanda amesaini mkataba wa mwaka mmoja kukipiga Msimbazi akitokea TP Mazembe ambapo alikuwa mmoja wa wachezaji ambao waliiwezesha kushinda Ubingwa wa Afrika mwaka 2009, 2010 (aliifungia goli kwenye mchezo wa fainali dhidi ya Esperance) na 2013 lakini pia akiwa ameshiriki Kombe la Dunia la Vilabu mwaka 2009, 2010, 2013. #NguvuMoja
Tairone Santos da Silva
Kazi ya kuimarisha kikosi cha Mabingwa wa nchi inaendelea kama kawaida, beki Tairone Santos da Silva (30) amesaini mkataba wa miaka miwili kuchezea Msimbazi. @tairone89 amejiunga na klabu yetu akitokea ya Atlético Cearense FC ya nchini kwao Brazil. #NguvuMoja
Wilker Henrique da Silva
Mshambuliaji raia wa Brazil, Wilker Henrique da Silva akisaini mkataba wa miaka miwili kuchezea kikosi cha Mabingwa wa nchi. @wilkerhenrique95 mwenye umri wa miaka 23 amejiunga na timu yetu akitokea klabu ya Bragantino ya nchini kwao Brazil. @wilkerhenrique95 karibu sana. Yajayo yatafurahisha zaidi. #NguvuMoja
IBRAHIM AJIB TETESI
GADIEL MICHAEL TETESI
FRANCIS KAHATA TETESI
WALTER BWALYA TETESI
WANAOONDOKA
ASANTE KWASI - GHANA
NICOLAUS GYAN - GHANA
EMMANUEL OKWI - UGANDA
RASHID JUMA - TANZANIA MKOPO KMC
JAMES KOTEI - KAIZER CHIEFS FREE TRANSFER
HARUNA NIYONZIMA - FREE
DEOGRATIUS MUNISHI FREE
0
Full name Déogracias Kanda A Mukok
Date of birth11 August 1989 (age 29)
Place of birth Matadi, Zaire
Height1.71 m (5 ft 7 1⁄2 in)
Playing positionSecond striker
2007–2009 DC Motema Pembe mechi 2 goli (0) 2009–2013TP Mazembe mechi 40 goli (15) 2013–2014Raja Casablanca mechi 3 goli (0) 2014–2015AS Vita Club mechi 2 golo (1) 2015 AEL mechi 0 goli (0) 2015–TP Mazembe
National team
2011–DR Congo mechi 21 goli (4)
MFAHAMU DEO KANDA
Full name Déogracias Kanda A Mukok
Date of birth11 August 1989 (age 29)
Place of birth Matadi, Zaire
Height1.71 m (5 ft 7 1⁄2 in)
Playing positionSecond striker
2007–2009 DC Motema Pembe mechi 2 goli (0) 2009–2013TP Mazembe mechi 40 goli (15) 2013–2014Raja Casablanca mechi 3 goli (0) 2014–2015AS Vita Club mechi 2 golo (1) 2015 AEL mechi 0 goli (0) 2015–TP Mazembe
National team
2011–DR Congo mechi 21 goli (4)
Subscribe to:
Comments (Atom)
Popular Posts
-
Anonymous Employer IT & Software Dar es Salaam | Full Time | Technology | TSh Confidential 1w Job Summ...
-
SEHEMU YA KWANZA kuzurula ndo ilikuwa kazi yangu coz ilikuwa lazima nimalize kariakoo nzima kwa kuokota chupa za maji nikauze nipa...
-
At the heart of Pact is the promise of a better tomorrow. A nonprofit international development organization founded in 1971, Pact work...
About
Powered by Blogger.
Contact Form
Search This Blog
Tags
Categories
Popular Posts
-
Mwalimu Julius Nyerere Memorial Scholarship Fund in Tanzania, 2019 Are you looking for an exceptional education at a great value? Go...
-
Simba na Azam walivyofungana 1-1 Chamazi - VPL 15/07/2021
-
Sweet and Sour Chicken Wings. 45minutes Ingredients . ½ cup soy sauce. ½ cup white vinegar . 3 garlic cloves smashed and pee...
-
While there are endless diets, supplements, and meal replacement plans claiming to ensure rapid weight loss, most lack any scientific evid...
-
KILA MTU ANA JINSI YAKE YA KUELEZE JINSI ANAVYOMPENDA MTU LAKINI HUYU MREMBO NI HATARI SANA!......KAA NA MIMI NIKUPE FULL MKANDA...............
-
1 15,128 St. Augustine University of Tanzania 2 12,563 St. Joseph University in Tanzania 3 9,312 Mzumbe University 4 8,044 Sok...
-
MINISTRY OF NATURAL RESOURCES AND TOURISM TOURISM DIVISION LIST OF LICENSED TOURIST AGENTS FOR THE YEAR 2008 AS AT 09/7/2008 LICENCE VALID...
Popular Posts
-
Writing a motivational letter can be nerve-wracking. When presented with the question of “Why would you like to be part of this organ...
-
1 15,128 St. Augustine University of Tanzania 2 12,563 St. Joseph University in Tanzania 3 9,312 Mzumbe University 4 8,044 Sok...
Blogger templates
Blogger news
Blog Archive
-
▼
2019
(240)
-
▼
July
(73)
- Manchester United vs Kristiansund 1 0 Highlights...
- Real Madrid vs Tottenham 0 1 All Goals & Highlight...
- Kristiansund BK vs manchester united live streaming
- REAL MADRID VS TOTENHAM HOTSPURS LIVE STREAMING
- PSG VS SYDNEY LIVE STREAMING
- Vissel kobe vs barcelona live streaming
- https://youtu.be/hkcTiBv_TL0
- Real Madrid vs Atletico Madrid 3-7 Diego Costa (4 ...
- Real Madrid vs Atletico Madrid 3-7 Diego Costa (4 ...
- Tottenham vs Manchester United 1-2 Highlights & Go...
- KITCHEE VS MANCHESTER CITY LIVE STREAMING
- Real Madrid vs Arsenal 2 2 Highlights & All Goals
- Bayern München vs Milan 1 0 Full Match Goal & High...
- Arsenal vs real madrid live streaming
- Tammy Abraham goal vs Barcelona 23 07 2019 1
- barcelona vs chelsea live streaming
- Taifa stars wakiwa kambini msikilize kocha mkuu ak...
- BREAKING NEWS Mzee mwinyi AMSHUKIA VIKALI JANUARY ...
- barcelona vs chelsea live streaming
- Hao yanga huko moro wamenoga tizi lao balaa
- Hao yanga huko moro wamenoga tizi lao balaa
- Mtizame Harmonize akizungumzia gari aliyompya q ch...
- Nickson kibabage akitambulishwa Difaa aljadida
- Juventus vs Tottenham 2 3 Full Time Highlights
- Juventus vs Tottenham live streaming full hd
- Bayern munich vs real madrid 3 1 goals and highlights
- Arsenal vs fiorentina 3 0 hd goals and full highli...
- Liverpool vs Borussia Dortmund 2 3 All Goals & Hig...
- borusia dortmund vs Liverpool fc live streaming link
- senegal vs algeria live streaming full hd
- ATCL YAZINDUA SAFARI YA KWENDA INDIA
- ARSENAL VS BAYERN MUNICH FULL HD HIGHLITES AND GOA...
- DANGER !!!!! A MAN PUTS HIS HEAD INTO TO THE CROCO...
- ARSENAL VS BAYERN MUNICH LIVE STREAMING LINK
- TUNISIA VS NIGERIA LIVE STREAMING LINK
- manchester united vs leeds full hd highlights
- SADNEY URIKHOB AWASILI DAR TAYARI KUJIUNGA NA WENZ...
- Call of Duty: Black Ops 4 Best of the week #200
- Call of Duty: Black Ops 4 Best of the week #200
- Manchester united transfer HARRY MAGUIRE IS RED
- SENEGAL VS TUNISIA LIVE STREAMING LINK
- bradford city vs liverpool live streaming
- GADIEL MICHAEL “SIMBA SC NI TIMU KUBWA TANZANIA”
- manchester united vs perthy live streaming LINK
- Africa cup of nations madagascar vs Tunisia live s...
- Africa cup of nations ivory cost vs algeria live s...
- Africa cup of nations
- matokeo ya kidato cha sita 2019
- Wikipedia Emmanuella goes to school
- MAGAZETI TA LEO
- TOP MADEMU WAZURI WA MASTAA BONGO
- africa cup of nations Ghana vs Tunisia LIVE STREAMING
- Copa america final BRAZIL VS PERU LIVE STREAMING
- Africa cup of nations algeria vs guinea full hd live
- Africa cup of nations Madagascar vs Dr Congo full...
- Women worldcup : usa vs netherland full hd live st...
- ROMANTIC AND UNIQUE WEDDING PROPOSAL IDEAS FOR EVE...
- MAGAZETI YA LEO
- Yaliyojiri kwenye Magazeti ya leo jumamosi
- Yaliyojiri kwenye Magazeti ya leo jumamosi
- ROMANTIC AND UNIQUE WEDDING PROPOSAL IDEAS FOR EVE...
- Sadio mane goal vs uganda
- Soma magazeti ya leo ijumaa 5/7/2019
- #magazetileo #magazeti MAGAZETI LEO 4/7/2019
- MAGAZETI LEO 4/7/2019
- LISSU AMLIPUA JOB NDUGAI
- USAJILI ORODHA YA WALIOSAJILIWA NA WANAOTOKA SIMBA...
- MFAHAMU DEO KANDA
- MAGAZETI LEO 3 / 7 / 2019
- AFCON2019 : WILFRED ZAHA DISTURBING SOUTH AFRICA
- HIGHLIGHTS TANZANIA VS ALGERIA ALL GOALS
- TANZANIA VS ALGERIA HD LIVE STREAMING
- HOW TO BUILD THE BEST RAT TRAP
-
▼
July
(73)
























